Fumba macho kwa kuyakodoa ni kutunza siri milele. Ulichokiona usikiseme daima maana ukikisema hakika utakufa. Las Vegas ni ofisi ya siri ya El Tigre. Kinachofanyika pale hubakia pale.
Comments
Content
Kolonia Santita
Laana Ya Panthera Tigrisi
By: Enock Maregesi
Published on: 9/17/2012 9:19 AM
◙ Las Vegas. Madhali umeona tunafanya nini katika dunia, fumba macho kwa kuyakodoa. Wanaosema hawajui wanaojua hawasemi, siri ni siri milele. Kinachofanyika hapa hubakia hapa.